Askofu Mallasy: Dodoma Iko Tayari Kwa Mapokezi Ya Rais Magufuli

*Asema Mkesha Mkubwa wa Kitaifa mwaka huu utafanyika Dodoma  Na Irene K. BwireASKOFU wa Kanisa la Tanzania Fellowship of Churches (TFC), Dk. Godfrey Mallasy amesema Jiji la Dodoma kwa sasa ni shwari na liko tayari kwa ujio wa Rais, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli.Ametoa kauli hiyo jana jioni (Jumapili, Februari 11, 2019) wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye kanisa la Dodoma Christian Centre mara baada ya kumaliza ibada maalumu ya kuombea ujio wa Rais Magufuli jijini Dodoma.Askofu Mallasy alikuwa akihitimisha semina ya siku nne ya jinsi ya kutambua madhabahu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News