AUSSEMS AVUJISHA USAJILINA

MWAMVITA MTANDA WAKATI wapenzi wa Simba wakiendelea kusikilizia majina ya wachezaji wao waliosajiliwa kuitumikia timu yao msimu ujao, Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi hao, Patrick Aussems, ameweka wazi nyota anaowataka watakaomwezesha kufanya makubwa zaidi. Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu kumalizika kwa msimu uliopita, hatimaye uongozi wa Simba umeanza kuanika picha za wachezaji waliomalizana nao, hadi sasa wengi wakiwa ni wale waliokuwa nao kikosini. Kati ya wachezaji watano ambao hadi sasa wameanikwa na klabu hiyo kusaini mikataba, ni mmoja tu ambaye hakuwamo katika kikosi cha msimu uliopita,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News