AZAM KUSAKA POINTI TISA KANDA YA ZIWA

NA SALMA MPELI KIKOSI cha Azam FC, kimeanza mazoezi yake jana kwa ajili ya kujiweka sawa na mechi tatu zijazo za Ligi Kuu Tanzania Bara itakazocheza ugenini Kanda ya Ziwa dhidi ya Mwadui ya Shinyanga (Septemba 14), Biashara United ya Mara (Septemba 19) na Alliance ya Mwanza, Septemba 23. Akizungumza na BINGWA jana, Kocha Msaidizi wa Azam, Idd Nassoro ‘Cheche’, alisema wameanza mazoezi kwa ajili ya kuhakikisha wanarejea na pointi tisa katika mechi hizo tatu zilizo mbele yao. “Tunaingia kambini leo (jana) na kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi yetu...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News