Azam yamsaini ‘mdogo wake’ Drogba

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Klabu ya Azam imeendelea kuimarisha kikosi chake baada ya kunasa saini ya straika wa kimataifa kutoka nchini Ivory Coast, Daly Ella Richard Djodi (29), kwa mkataba wa mwaka mmoja. Djodi ametokea katika klabu ya Ashantgold FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Ivory Coast. Akizungumzia usajili huo Ofisa Habari wa Azam, Jaffary Iddy amesema kikosi cha mabingwa hao watetezi wa Afrika Mashariki na Kati kilikuwa kimepwaya katika nafasi za mastraika hivyo ujio wa Djodi utakiimarisha kikosi chao. “Tunapoenda dakika za mwisho za usajili msimu huu tumeongeza usajili...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News