Baada ya mahabusu; Mbowe akutana na janga jingine

FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, anakumbana na misukosuko mfululizo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uongozi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro umekusudia kupoka kiwanja cha Mbowe ambacho kimeingizwa kwenye orodha ya viwanja 34 vinavyokusudiwa kutwaliwa na serikali. Kwa muzibu wa taarifa kutoka Hai ni kuwa, tayari Willium Lukuvi, Waziri ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News