Baadhi ya Takwimu za Simba kuelekea mchezo wao na Al Ahly

Wakati Simba wakiwakaribisha Al Ahly hapa zipo takwimu kadhaa za kutipia macho. Klabu ya Simba ina rekodi nzuri sana wakiwa katika uwanja wa nyumbani kwenye michuano ya klabu bingwa tokea mwaka 2000+. Mechi >> 19 Ushindi >> 13 Sare >> 3 Vipigo >> 3 Hata hivyo Simba ina rekodi ya kuvutia inapokutana na vilabu kutoka Misri. Simba ina rekodi za kibabe inapokutana na na vilabu kutoka Misri hasa wanapokuwa wenyeji. Simba haijwahi kufungwa na timu kutoka Misri ndani ya Ardhi ya Tanzania. Imefanikiwa kupata Clean sheets 2 katika mechi 6,...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News