Baba wa Beyonce alimhofia R. Kelly

NEW YORK, MAREKANI BABA wa Beyonce, Mathew Knowles, ameweka wazi kuwa alikuwa makini kumlinda mwanawe huyo na Kelly Rowland, wakati wanafanya kazi na staa wa muziki wa RnB, R. Kelly. Knowles ambaye alikuwa meneja kwenye tasnia ya muziki, aliwahi kufanya kazi na R. Kelly mwaka 1998, huku Beyonce na Kelly Rowland wakiwa na umri wa miaka 17. “Nilikuwa makini sana wakati nafanya kazi na R. Kelly, ilikuwa mwaka 1998, wakati warembo hao wakiwa na umri wa miaka 17, sikutaka kuwaacha peke yao, mara zote nilikuwa namwambia mke wangu Tina...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News