Bageni kuhitimisha kesi ya akina Zombe leo

Mahakama ya Rufani leo Jumatano Agosti 14, 2019 inahitimisha kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa Mahenge mkoani Morogoro iliyokuwa ikiwakabili maofisa 13 kwa Jeshi la Polisi  kwa kutoa uamuzi wa mwisho kwa ofisa mmoja aliyesalia katika kesi hiyo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News