Balozi Seif ayafunga Maonyesho ya 43 ya Biashara Dar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitembelea Mabanda Wajasiri amali wanaotengeneza Bidhaa za ngozi wa Woiso kwenye  Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa Dar es salaam Afisa Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Mohammed Khamis Ismail akimpatia maelezo Balozi Seif alipotembelea Banda lao kwenye Maonyesho ya 43 ya Biashara Dar es salaam.  Balozi Seif  akikagua Mabanda ya Akina Maa Wajasiri amali Kutoka Taasisi wa WIPE na kuridhika na bidhaa zinazozalishwa na wajasiri amali hao.  Balozi Seif  akikagua Mabanda ya Akina Maa Wajasiri amali Kutoka Taasisi wa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News