Balozi Seif Azungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataiufa ya Mtandao wa Viwanda ya Nchini Misri

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kati kati akizungumza na Timu ya Waaalamu Watano wa Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Mtandao wa Viwanda ya Nchini Misri {I E S}.Mhandisi Ibrahim Qamar wa Timu ya Waaalamu Watano wa Tawi la Kampuni  ya Kimataifa ya Uhandisi wa Mtandao wa Viwanda ya Nchini Misri akimkabidhi Balozi Seif Kitabu cha Historia ya Kampuni yake.Na.Othman Khamis OMPR.Kampuni ya Kimataifa ya Uhandisi wa Mtandao wa Viwanda ya Nchini Misri {I E S} imejitolewa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 9 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News