BALOZI STITH AHIMIZA KUENDELEZA USHIRIKIANO, AWAFAGILIA RAIS MSTAAFU MKAPA ,KIKWETE,MWINYI, ATUA BONGO KUSHEREHEKEA MIAKA 20 YA UBALOZI WAKE

Maraisi wastaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Benjamini Mkapa (kulia) na Jakaya Kikwete (kushoto) kwa pamoja wakishiriki kukata keki na Balozi Mstaafu wa Marekani nchini Tanzania, kuanzia mwaka 1998 - 2001, Charles Stith (wa pili kulia) na mkewe, Debora Prothrow-Stith (wa pili kushoto) kukata Keki wakati wa hafla ya Balozi huyo kusherehekea kutimiza miaka 20 ya ubalozi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Kempisk jijini Dar es Salaam janaMaraisi wastaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi (katikati) Benjamini Mkapa (wapili kulia) na Jakaya Kikwete (wa pili kushoto) kwa pamoja wakifurahia baada ya kukata...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News