Balozi wa Marekani atoa wito udumavu kumalizwa Kagera

RENATHA KIPAKA-BUKOBA KAIMU Balozi wa Marekani nchini, Dk. Inmi Patterson, ametembelea miradi ya maendeleo mkoani hapa katika upande wa afya na kuutaka uongozi wa mkoa kufanya jitihada za kuondoa udumavu. Akiwa mkoani hapa kwa ziara ya siku tatu, Dk. Patterson alisema lengo ni kufika katika miradi iliyofadhiliwa na Marekani kwani mkoa umekuwa ukifanya vizuri katika upimaji wa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) hasa kwa wanaume. Hata hivyo Dk. Patterson alisema wananchi  wamehamasika kupima katika vituo vya afya na utumiaji wa dawa za kufubaza nguvu za virusi. “Nimefurahi kufika hapa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News