Banda: Sina wa kumlaumu kuachwa Taifa Stars -VIDEO

Baada ya kuachwa katika kikosi cha Taifa Stars, beki Abdi Banda amesema hana wa kumlaumu kwa sababu timu hiyo ni ya watu wote sasa anakwenda kujipanga ili atakapoitwa kwa mara nyingine awe chaguo namba moja la timu hiyo....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News