Bashe aahidi kuboresha sekta ya kilimo, amshukuru JPM kumteua

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Kilimo mteule, Hussein Bashe ameahidi kuiboresha sekta ya kilimo kwa kuwa ndiyo sekta iliyoajiri Watanzania wengi na kuchangia pato la taifa kwa asilimia kubwa licha ya changamoto nyingi. Aidha, amemshukuru Rais Magufuli kwa kumteua kushika nafasi hiyo. Bashe ameteuliwa kushika nafasi hiyo leo Jumapili Julai 21, akichukua nafasi ya Innocent Bashungwa mbaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara. Kupitia ukurasa wake wa Twitter leo saa chache baada ya kuteuliwa, Bashe ameandika ujumbe wa shukrani kwa Rais Magufuli akishukuru kwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 21 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News