BASHE AITAKA NEC ITENDE HAKI

Na MWANDISHI WETU,DAR ES SALAAM Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM), ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutenda haki ili uchaguzi wa Septemba 16 uwe wa haki na upinzani wasipate sababu ya kufanya vurugu. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Ukonga, uliofanyika jana Mziga Mwanagati,  ambapo alisema CCM kimejipanga hivyo ni vyema NEC wakatenda haki. Pia aliviomba vyombo vya ulinzi na usalama kutoa ulinzi wa kutosha kwa mgombea Ubunge wa Chadema, Asia Msangi kwani amesikia watu wa chama chake wakidai kuwa mgombea wao anataka kutekwa....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News