Bashe: Naweza kuhama CCM kama Lowassa

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe anaweza kuondoka kwenye chama hicho pale kitakapoboronga. Anaandika Faki Sosi … (endelea). Amesema kuwa, anaweza kufanya hivyo kama alivyofanya Edward Lowassa, Maalim Seif Sharif Hamad na hata Augustino Mrema.  Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega Mjini amesema hayo kwenye mkutano wa kampeni katika Jimbo la Ukonga wakati ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News