Basi lapinduka Kilimanjaro, 40 wanusurika

Watu zaidi ya 40 wamenusurika kifo baada ya basi la kampuni ya Kaprikon walilokuwa wanasafiria kutoka Singida kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro  nchini Tanzania kupata ajali na kupinduka eneo la KIA wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News