Bendera ya Chadema yawazuzua CCM Ukonga

NI kama maneno ya kumnadi Mwita Waitara yamewaishia makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kwanza kushambulia rangi za bendera ya Chadema. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Livingstone Lusinde, Mbunge wa Mtera kupitia CCM ameishambulia rangi nyekundu iliyopo kwenye bendera hiyo akihoji maana yake. Lusinde ametoa kauli hiyo leo tarehe 13 Septemba wakati wa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News