Bendera za CUF zachomwa moto

CHAMA Cha Wananchi (CUF) chini ya mwenyekiti wake Prof. Ibrahim Lipumba kimeanza kupita kwenye wakati mgumu baada ya Maalim Seif Shariff Hamada, aliyekuwa katibu wake kuhamia ACT-Wazalendo leo tarehe 18 Machi 2019. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Ni kutokana na baadhi ya wanachama wa CUF waliokuwa wanamuunga mkono Maalim Seif kuanza kuchoma moto bendera za chama ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News