Berahino afurahia umoja kikosi cha Burundi

DOHA, Qatar NYOTA wa timu ya taifa ya Burundi, Saido Berahino, amesema umoja katika kikosi chao ni chachu ya kufanya vizuri katika Kombe la Afrika nchini Misri.  Akitumia ukurasa wake wa Instagram, Berahino aliyezaliwa Agosti 4 mwaka 1993 aliandika, “Umoja umekuwa chachu ya mafanikio yetu.”  Sare ya bao 1-1 dhidi ya Gabon katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Prince Louis Rwagasore jijini Bujumbura ilitosha kuwafanya Burundi kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mali na kufuzu kwa mara ya kwanza michuano ya AFCON. Intamba Mu Rugamba kama wanavyofahamika wameweka kambi jijini Doha,...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News