Biashara ya Kangomba yaanza kutambuliwa

Arodia Peter, Dodoma Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba amesema biashara ya Kangomba kwenye biashara ya korosho itaanza kutambuliwa na sheria. Akijibu hoja za wabunge bungeni leo, Mei 15, Mgumba amesema kangomba ni ujasiliamali unaopaswa kutambulika kwa mujibu wa sheria. “Mambo mengi yanafanyika kutokana na sheria zilizotungwa hapa bungeni, mfano Sheria ya korosho namba 12 na 15 inasema ukikutwa na korosho kama huna kibali cha Bodi ya korosho unapaswa kukamatwa.” amesema Mgumba....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News