Bilioni 14.9 yakusanywa na TRA Njombe

Na Amiri kilagalila-NjombeMamlaka ya mapato Tanzania TRA mkoa wa Njombe imefanikiwa kukusanya bilioni 14.9 ya mapato katika mwaka wa fedha 2018/2019 hadi sasa ,licha ya bajeti ya makadilio kuwa bil 17 na kutoa pongezi kwa wilaya ya njombe ambayo imekusanya zaidi ya asilimia 70.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya elimu kwa mlipa kodi mkoani Njombe iliyofanyika mjini Makambako,Afisa mwandamizi wa kodi mkoa wa Njombe Adeliki Alphonce amesema kuwa licha ya kufanikiwa kukusanya kiasi hicho cha fedha lakini bado kuna upungufu wa shilingi bilioni 3.1 ili kukamilisha lengo."Mpaka sasa wananchi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News