Bilioni 19 Zatengwa kwa ajili ya kulipa fidia za maeneo yaliyotwaliwa na jeshi.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa imepokea jumla ya Sh19 bilioni kwa ajili ya kulipa fidia za maeneo yaliyotwaliwa na jeshi.Hata hivyo, ni Sh3 bilioni ndizo zilizolipwa hadi sasa huku Sh16 bilioni zikisubiri uhakiki ili kukamilisha malipo hayo kwa ardhi ya wananchi.Akijibu swali bungeni leo Jumatano Mei 15, 2019, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussen Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuwalipa wananchi fidia katika maeneo ambayo yalichukukiwa kwa shughuli za Jeshi.Kauli ya Dk Mwinyi imekuja ikiwa ni siku chache tangu msemaji wa Jeshi la Wananchi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News