Binti aondolewa kizazi kwa siri, madaktari washindwa kujieleza

RAHAEL Alaay (25) ameiomba serikali kupitia Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuingilia kati mgogoro wake na Hospitali ya Wilaya ya Mbulu baada ya kuondodelewa kizazi kwa siri. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Raheli akizungumza na MwanaHALISI ONLINE leo tarehe 14 Machi 2019 amesema, tarehe 4 Aprili 2012 alifanyiwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News