Bocco aliamsha tena Simba

Bocco alisema kitendo cha kutikisa nyavu dhidi ya Mwadui, Simba ikishinda mabao 3-0, kimempa ari na nguvu ya kwenda kunoa upya mguu wake kwa madai anataka kuingia kwenye vita ya kuwania kiatu cha dhahabu dhidi ya wale wanaomiliki mabao mengi kama Heritier Makambo (Yanga), Said Dilunga (Ruvu), Meddie Kagere na Emmanuel Okwi (Simba)....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Saturday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News