Bocco, Kagere sasa washindwe wao tu

KIKOSI cha Simba kinaendelea na maandalizi yao ya mwisho kabla ya kesho Jumanne kuliamsha mbele ya Al Ahly katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini huku nyuma mashabiki wa klabu hiyo wamepata furaha kubwa baada ya kusikia Waarabu wamekuja bila nyota wao wanne matata....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News