Bodi ya utalii kuanzisha ofisi Terminal III Dar

Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji mstaafu, Thomas Mihayo amesema bodi hiyo itakuwa na ofisi maalumu katika jengo jipya la kupokelea wageni (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 10 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News