Boisafi: CCM haitakubali upinzani wa ndani

Safina Sarwatt-Hai WENYEKITI wa chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi amesema kuwa chama hicho hakitakuwa tayari na upinzani wa ndani ya chama hicho, na kwamba watakaobainika watachukuliwa hatua kwa mujibu kanuni na katiba chama hicho. Boisafi ameyasema hayo wakati akipokea gari aina toyota Hilux iliyotolewa na mjumbe wa kamati ya siasa wilaya Hai Lenga Ole Sabaya kwa CCM wilaya Hai kwa ajili ya kurahisisha shughuli za chama. “CCM haiko tayari na Upinzani ndani ya chama na kwamba watakao bainika kuendeleza fitina na chuki tutawachukulia hatua ,na kwamba...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News