Bomu la kilo 10 lakutwa kwenye chuma chakavu, JWTZ waliharibu

Marwa anayefanya biashara ya kukusanya na kuuza vyuma chakavu katika mikoa ya Mara na Mwanza, amesema alishtuka kuona kitu kisicho cha kawaida wakati vijana wake walipokuwa wakipakia vyuma chakavu kwenye gari tayari kusafisrishwa kwenda jijini Mwanza....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News