Bonaza la Michuano ya Kuadhimisha Miaka 61 ya Timu Kongwe ya Ujamaa Zanzibar Linaendelea Leo Kwa Mchezo wa Taifa ya Jangombe na Gulioni City Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Na.Mwandishi Wetu. Michuano ya Tamasha la Timu ya Kongwe ya Ujamaa linaendelea leo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar saa kumi kwa kuzikutanisha Timu za Taifa ya Jangombe na Gulioni City,  Bonaza hilo linalozishirikisha Timu Nane za Wilaya ya Mjini Unguja liliaza juzi kwa mchezo wa ufunguzi uliozikutanisha Timu za Kundemba na Rastazoni  katika Uwanja wa Amaan, katika mchezo huo Timu ya Kundemba imeyaaga mashindano hayo kwa kutolewa kwa penenti na Timu ya Rastazoni.Timu ya Gulioni City inashiriki ligi ya Daraja la Pili Wilaya ya Mjini Unguja itashukwa uwanja leo kwa kumenyana na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News