Bondia Mtanzania apongezwa Bungeni

Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo aliyempiga bondia wa Uingereza Sam Eggington katika pambano la utangulizi kabla ya pambano kuu kati ya Amir Khan dhidi ya Samuel Vargas, leo amepongezwa na serikali Bungeni. Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma na Waziri Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe. “Nielezee kidogo kwa yaliyotokea Uingereza usiku wa kuamkia jana kwa mtanzania mwenzetu Hassan Mwakinyo wa Tanga kwa ushindi mnono alioupata huko Birmingham baada ya kumchakaza mwanamasumbwi nyota Sam Eggington katika raundi ya pili kati ya raundi 10.” “Kabla ya pambano hilo kufanyika bondia wa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News