Bondia Mtanzania aushangaza ulimwengu

Bondia mtanzania Hassan Mwakinyo alieyempiga bondia wa England Sam Eggington katika pambano la utangulizi kabla ya pambano kuu kati ya Amir Khan dhidi ya Samwel Vargas kwa sasa anawataka ma-star wa kimataifa wa mchezo huo. Mwakinyo (23) kutoka Tanga alishinda pambano kwa Technical Knockout (TKO) dhidi ya bondia mwingereza Sam Eggington kwenye jiji la Birmingham. Mdau wa masumbwi Chief Juma Ndambile amezungumzia ushindi alioupata bondia Hassan Mwakinyo. “Amefanya kazi ya ziada ambayo anapaswa kupongezwa na kila mdau wa ngumi, bondia aliyepigana nae ni mkubwa sio wa kubeza kama watu wanavyofikiria...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News