BREAKING: Basi la Abood Lateketea kwa Moto

Basi lenye namba za usajili T 877 DJP mali ya kampuni ya Abood linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Morogoro limeteketea kwa moto katika eneo la Chalinze mkoani Pwani baada ya kupata hitilafu ya umeme. Hakuna madhara kwa binadamu yaliyotokea....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News