Breaking: CHADEMA Watangaza Kususia Chaguzi Zote

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kujiondoa Rasmi kushiriki chaguzi ndogo zote zilizotangazwa kufanyika hivi karibuni na chaguzi zozote zitakazofuata zinazosimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa madai kwamba tume hiyo inafanya kazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).Mbowe amesema hayo leo Septemba 19, 2018 alipokuwa akiwasilisha uamuzi wa kamati ndogo ya Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana jana kutafakari yaliyotokea kwenye chaguzi ndogo za ubunge za Ukonga, Monduli na kata 23 uliofanyika Jumapili iliyopita ya Septemba 16, 2018.Mbowe amesema hujuma za uchaguzi huanza mapema katika hatua za kupata...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 19 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News