BREAKING: Maalim Seif Atangaza Kuhamia ACT- Wazalendo

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif, ametangaza rasmi kujiunga na chama cha ACT Wazalendo yeye pamoja na wafuasi wake ili kuendeleza mapambano waliyokuwa wakiyafanya kupitia chama cha CUF. Maalim Seif ametangaza maamuzi hayo Leo March 18, 2019 ikiwa ni muda mchache kupita baada ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam Kuhalalisha Uenyekiti wa Profesa Lipumba ndani ya CUF....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News