BREAKING: Maalim Seif na Kundi Lake Watangaza Kuhamia ACT- Wazalendo

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif, ametangaza rasmi kujiunga na chama cha ACT Wazalendo yeye pamoja na wafuasi wake ili kuendeleza mapambano waliyokuwa wakiyafanya kupitia chama cha CUF. Maalim Seif ametangaza maamuzi hayo Leo March 18, 2019 ikiwa ni muda mfupi kupita baada ya Mahakama kuu Kanda ya Dar es Salaam Kuhalalisha Uenyekiti wa Profesa Lipumba ndani ya CUF."Sasa tumeamua kuwa sasa imetosha, mapambano ya kisiasa lazima yaendelee, tumeamua kutafuta jukwaa la kufanyia siasa ambalo ni ACT -Wazalendo" Amesema Maalim Seif  wakati akitangaza kujiunga na chama cha ACT Wazalendo jijini...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News