BREAKING: Mahakama Yaamuru Freeman Mbowe Akamatwe....Wakili wa Msigwa ajitoa

Wakili Jamhuri Johnson, anayemtetea Mchungaji Peter Msigwa, katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, ametangaza kujiondoa kumtetea kwa madai ya kutorishishwa na mwenendo wa kesi hiyo unavyoendeshwa.Wakili Johnson ametangaza uamuzi huo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Alhamisi Novemba 8, mara baada ya upande wa mashtaka kumaliza kuwasomea washtakiwa maelezo ya awali.Akitangaza kujitoa kumtetea Msigwa, wakili Johnson amedai haridhishwi na mwenendo wa kesi hiyo jinsi unavyoendeshwa.Amedai kwa miaka 20 ya uwakili wake, hajawahi kuona kesi inaendeshwa kama inavyoendeshwa hiyo.Awali, washtakiwa hao wamesomewa maelezo ya awali huku washtakiwa hao...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News