BREAKING: Michael Wambura Mahakamani.....Asomewa Mashitaka 17 ikiwemo utakatishaji fedha

Aliyekuwa Makamu wa Rais TFF, Michael Wambura amesomewa mashitaka 17 Mahakamani Kisutu ikiwemo utakatishaji fedha Mil.75Kesi imeahirishwa hadi Feb. 14 kwa ajili ya Hakimu kuamua kama aifute kesi ama la, Wambura amepelekwa rumande kusubiri uamuzi wa Mahakama....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News