Breaking News: Bharti Airtel waongeza hisa za Serikali katika Airtel Tanzania kutoka 40% hadi 49%.

Kampuni ya Bharti Airtel imekubali kuongeza hisa zinazomilikiwa na Serikali ya Tanzania katika kampuni ya Airtel Tanzania kutoka asilimia 40 hadi 49.Hayo yamebainishwa leo Ijumaa Januari 11, 2019 katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa baada ya mazungumzo kati ya Rais John Magufuli na mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Sunil Mittal, waliokutaka Ikulu Dar es Salaam.Wawili hao wamezungumzia maendeleo ya mazungumzo ya umiliki wa hisa za kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania.Taarifa hiyo inaeleza kuwa baada ya mazungumzo hayo Mittal amesema kampuni...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News