Breaking News: Mbunge wa TEMEKE Abdallah Mtolea Ajivua Uanachama wa CUF Akiwa Ndani ya Bunge Leo

Mbunge wa TEMEKE Abdallah Mtolea kwa tiketi ya CUF ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na nafasi zote ndani ya chama kwa kile alichodai kuwa kumekuwa na migogoro ndani ya Chama chake, Mtolea ametoa tamko hilo ndani ya Bunge na kisha akatoka nje ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News