Breaking News: Rais Magufuli Afunguka Mambo Mazito Sakata la Dhahabu ya Mamilioni ya Pesa Iliyonaswa Jijini Mwanza

Rais Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania-IGP Simon Sirro  kwa kuhakikisha watuhumiwa wote wa Dhahabu ya mamilioni ya pesa iliyokuwa inatoroshwa jijini Mwanza wamekamatwa wakiwemo Askari polisi 8.Rais Magufuli ametoa pongezi hizo Leo Jumatano January 9, 2019  Ikulu Dar es Salaam wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua jana.Akisimulia kwa kina kuhusu tukio hilo, Rais Magufuli amesema watuhuhiwa hao walikamatwa January 4 Misungwi, kisha wakarudishwa kituo kikuu cha kati, lakini hawakuwekwa Mahabusu."Ile dhahabu, Watuhumiwa wale walishikwa tarehe 4, wakarudishwa Mjini Mwanza na Kikosi cha Polisi nane, wakawapeleka Central wala hawakuwaingiza...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 9 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News