Breaking News: Rais Magufuli Kasema Korosho Zote Zitanunuliwa Na Serikali kwa sh 3,300....Kagoma Kuyaruhusu Makampuni Yanunue

Rais Dkt. John Pombe Magufuli  amegoma kuyauzia makampuni Korosho kwa madai kwamba ni wababaishaji na wanataka kuwaibia wananchi.  Badala yake amesema kwamba serikali itanunua korosho  yote kwa bei ya shilingi 3,300 kwa kilo.  Awali, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisema kwamba kuna makampuni 13 yamejitokeza kutaka kununua korosho kwa bei elekezi ya tsh. 3000Aliyataja makampuni hayo kuwa  ni Mega movers  ambayo inataka tani laki 2, kampuni ya Kitanzania Mkeme Agri inataka tani elfu 5, na makampuni matatu yatachukua tani elfu 5, makampuni manne, tani elfu moja moja. Ombi hilo limekataliwa na Rais...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 12 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News