Breaking News: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Balozi wa Tanzania nchini Canada...Kamvua Pia Hadhi ya Ubalozi

Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 .Pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 8 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News