Breaking News: Spika wa Bunge Job Ndugai Atangaza kumvua Ubunge Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemuandikia barua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistocles Kaijage kumtaarifu Jimbo la Arumeru Mashariki lipo wazi.Taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Machi 14, 2019 na Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge, imeeleza jimbo hilo linaloongozwa Joshua Nassari (Chadema) lipo wazi kutokana na mbunge huyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge.“Mheshimiwa Nassari amepoteza sifa za kuwa mbunge kutokana na kitendo chake cha kutohudhuria vikao vya mikutano ya Bunge mitatu mfululizo,” imeeleza taarifa hiyo.Mikutano hiyo ni ule wa 12 wa Septemba...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News