Bunge lakwepa kufafanua madai mshahara wa Lissu

MADAI ya Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kwamba, amesitishiwa mshahara na stahili zake zingine za kibunge yameshindwa kupatiwa ufafanuzi. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Madai hayo yaliyotolewa jana na kusambazwa kwenye mitandao ya kijaami yameeleza kuwa, Ofisi ya Bunge imesitisha stahiki hizo kuanzia Januari mwaka huu na kwamba, hatua hiyo ni kinyume na utaratibu wa sheria. MwanaHALISI ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News