Butiku awasha moto wa Katiba mpya

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku ameungana na aliyekuwa mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba kuzungumzia suala la Katiba mpya akisema mjadala wa kuipata haujafa kwa sababu wenye Katiba ambao ni wananchi bado wanaishi....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News