Bwege aeleza bungeni alivyokataa kununuliwa

Mwandishi Wetu, Dodoma Mbunge wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akakataa. Bwege amesema hayo leo Alhamisi Novemba 8, bungeni jijini Dodoma, wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa 2019/20, ambapo amesema kwenye kitabu cha Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango, zinaonyesha fedha nyingi za miradi ya maendeleo hazikupatikana, lakini bado nyingine zinatumika kununua watu na chaguzi ndogo zisizo na sababu. Kauli hiyo ilifanya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News