Bwege amlipua tena Waziri Kamwelwe

Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isaac Kamwelwe, ameendelea kuwa katika wakati mgumu baada ya Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF), Suleiman Bungara (Bwege), kudai waziri huyo anamdharau Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Amesema Waziri Kamwelwe alitembelea jimboni kwake na kumueleza miradi ambayo Waziri Mkuu ameiridhia na Kamwelwe kutoa kauli iliyoonyesha ni kumdharau Waziri Mkuu. Bwege ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Novemba 8, bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa kwa mwaka 2019/20, ambapo pia amesema alidhani ni yeye pekee aliyejibiwa vibaya lakini alishangaa jana kumsikia Mbunge  wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News