Caf yasogeza mbele mechi ya Simba, JKT Tanzania

WINFRIDA MTOI Mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba na JKT Tanzania, iliyokuwa imepangwa kuchezwa Agosti 23, imesogezwa mbele hadi Agosti 29, mwaka huu, kutokana na mwingiliano ya michuano ya Kimataifa. Kwa mujibu wa ratiba ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Simba watakuwa Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kucheza na UD Songo ya Msumbuji katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Akizungumza na BINGWA juzi, Kocha wa timu ya JKT Tanzania, Abdallah Mohammed ‘Bares’, alisema wamepata barua kuwa mechi yao na Simba itachezwa Agosti...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News