CCM Wampitisha Zuberi Kuchauka wa CUF Kugombea Ubunge

Zuberi Kuchauka amepitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea ubunge Liwake katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Oktoba 12.Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humprey Polepole imesema Kuchauka amepitishwa leo na Kamati Kuu ya CCM iliyokutana jijini Dodoma chini ya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho  Zanzibar, Rais Dk Ali Mohamed Shein.“Kikao cha Kamati Kuu Maalum pamoja na mambo mengine kimemteua Zuberi Mohamed Kuchauka kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Liwale,” amesema Polepole.Amesema pamoja na uteuzi huo, Kamati Kuu imeiagiza Serikali ya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News